Huyu bwana alivuma sana hapa JF kwa kuwa wa kwanza kuchangia kila post inayowekwa ktk kila jukwaa. Lakini kwa wiki za karibuni hajaonekana kuchangia kabisa hapa JF.
Jamani huyu member mwenzetu kapatwa na nini hasa; je kafa? au kaibiwa nyenzi zake za kuingilia hapa jf? au kabanwa na uchumi wa magu kakosa bando?
Najiuliza TU kwann, wy?
Jamani
##bringbackourjoseeverest##
Sent using
Jamii Forums mobile app