##bringbackourjoseeverest##

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Huyu bwana alivuma sana hapa JF kwa kuwa wa kwanza kuchangia kila post inayowekwa ktk kila jukwaa. Lakini kwa wiki za karibuni hajaonekana kuchangia kabisa hapa JF.

Jamani huyu member mwenzetu kapatwa na nini hasa; je kafa? au kaibiwa nyenzi zake za kuingilia hapa jf? au kabanwa na uchumi wa magu kakosa bando?

Najiuliza TU kwann, wy?

Jamani

##bringbackourjoseeverest##

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapambana na hali yake.

Si nyinyi ndio mlikua mnamsema mara ooh hana kazi ya kufanya ye muda wote JF tu, mara sijui anafanya kazi saa ngapi adi anapata muda wa kuwa wa kwanza ktk kila uzi,

Ss hivi ameamua kuwa busy tena mnakuja kumshangaa.....yani binadamu sisi sijui tukoje kha.!!!

Atarudi tu kuweni wavumilivu.
 
kwanini unamtafuta alie kufa kati
ya walio hai..hayupo hapa kumbuka
alivyokwambia DM..kwamba ataoneka
mara nyingi sana hapa na ghafla atapotea
 
Joseverest ni mwanafunzi anayesoma kidato cha tano.

Humu jamii forums huwa anaonekana kipindi cha likizo tu basi.

Mwaka jana alihitimu kidato cha nne kwa hiyo alikuwa na muda mrefu wa kukesha humu mpaka mwaka huu mwezi wa nane tarehe moja alipokwenda shule kuripoti.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karudisha cmu kwa mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu hizi bringback somebody zimekuwa zinatushtua sana watanzania maana wengi waliopotea wakaambiwa hivyo wamekuwa hawarudi kabisa,neno limekuwa na ukakasi sana ukiliona sehemu limeandikwa
 
wakuu hizi bringback somebody zimekuwa zinatushtua sana watanzania maana wengi waliopotea wakaambiwa hivyo wamekuwa hawarudi kabisa,neno limekuwa na ukakasi sana ukiliona sehemu limeandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…