Mlera mada ameleta mada nzuri tu na kwa watu wanao jibu kistaarabu humu ndani tunajifunza mengi tu, kila mtu ana kitu anacho fahamu na ni vizuri kuchangia. Ufisadi upo kwa nguvu tu hapa nchini, ndani ya ccm na hata hao viongozi wengine wa vyama vya upinzani nao pia walisha chota ya kutosha tu na sijasikia hata mmoja aliesema mimi narudisha nilicho kichukua ''well well hakuna atakaye diriki kusema hivyo''!!
Na kwa hao wasio jibu au kuandika kistaarabu ni vizuri mka waacha tu, hakuna haja ya kuwajibu kwani ukimuongelesha asiokua na akilie hamtaelewana mpaka kesho au milele. Labda kuna siku watajifunZa baada wao kuona wamekua ignored.