Bring Back Our Money

Bring Back Our Money

Huyo faiza sijui kama mzima analeta habari za kujiuza barabarani huna la kuchangia nyamaza tumechoka kuibiwa nchi yetu sio masikini viongozi wetu ndo wabinafisi na wanakumbatia ufisadi na rushwa wizi wa pesa za iptl ni mkubwa mno kuliko epa haiwezekani pesa nyingi kiasi hicho kiibiwe arafu presidaa yupo kimia nina mashaka sana na viongozi wa nchi yetu tutamkumbuka mwl nyerere kwa mengi.

Ulitaka upewe umeme wa bure? si kaolewe kama mimi, hata sijui umeme unanunuliwa saa ngapi.
 
Jitahidi kwanza basi ujue kinachoongelewa hapa, kama uko karibu na waliohusika na uchotaji huu si ukae kimya? Unaboa sana!

Ulitaka upewe umeme wa bure?

mbona swali jepesi sana hili linakuwa gumu kwako?

Au ulifikiri zile kampuni zilizokupatia umeme wakati unashida ya umeme zilikuletea sadaka?
 
Ulitaka upewe umeme wa bure?

Si uolewe tu kama mimi, sijui hata umeme unanunuliwa saa ngapi, utapata umeme wa bure.

=> Sbb umeolewa, unafikiria kwa mak.al.io...yapo wazi, so definitely u won't know gharama ya umeme, waache tunaofikiria kwa ubongo sahihi tuchangie...ur thinking tigo ward...!!"
 
Ulitaka upewe umeme wa bure? si kaolewe kama mimi, hata sijui umeme unanunuliwa saa ngapi.


==> Coz of ur short sighted, sio hujui gharama ya
umeme kisa umeolewa...UR PAYING THROUGH UR MA.KALIO ...ur booty is ur umeme, so COZ OF UR DWARFISM....BRAIN MYOPIA...U WON'T KNOW UR PAYING ANAOTHER WAY BACK...!!!👌👌👌👌👌
 
Our Money must be brought back!
Supporting criminals on political base is the highest degree of immorality, irresponsibility! Stop it.
 
Watanzania wote kwa ujumla wetu,tujitokeze kuwaunga mkono vijana wazalendo wa nchi hii wakiongozwa na Ben Saanane,katika kushinikiza kurejeshwa kwa mabilioni yetu yaliyochotwa kiholela kupitia sakata la Kampuni ya IPTL. Ingaa imekuwa ikikanushwa kuwa mabilioni hayo si ya umma,bado tunaamini kuwa ni mabilioni yetu na yanatokana na kodi zetu kama watanzania.

Itoshe hata kupaza sauti zetu kukomesha uchotwaji huu wa mabilioni ya fedha nchini mwetu. Ya KAGODA,MEREMETA,RICHMOND na mengineyo nayo ni mifano ya mambo kama haya ya IPTL. Kijana, mzee na wengineo,tuunge mkono juhudi hizi za vijana wazalendo kupinga nchi yetu kuwa 'shamba la bibi'

Sajili kauli yako ya kukataa ufisadi nchini kwa kusema : Bring Back Our Money! Mimi nasema: BRING BACK OUR MONEY!


Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini Iringa-Morogoro)
naona saa 8 baada ya kupigwa chini uwongozi chadema naona kaamia huko ili atafute kiki ya kutokea mwambien ata potea katika ramani ya siasa ni bora hakajenge chama kwao
 
Ulitaka upewe umeme wa bure?

Si uolewe tu kama mimi, sijui hata umeme unanunuliwa saa ngapi, utapata umeme wa bure.

Wewe umeolewa au unaishi na mwanaume tu akutimizie haja zako?
 
Haya mambo ya ufisadi hayakuanza leo:
Mwenyekti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT.

Mwenyeti wa sasa wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT.

Kabla ya kupata uenyeti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alimuoa mtoto wa Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei.

Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, amekiri kwa maandishi kuwa anamiliki mabilioni ya shilingi pesa tasilimu na mali zisizohamishika yenye thamani ya mabilioni ya shilingi.

Hesabu za kiasi cha kodi alicholipa Mh. Freeman Mbowe kwa miaka kumi iliyopita hakiendani na utajiri huo mkubwa alio nao.

Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei, hupenda kujitambulisha kama mkulima. Hata hivyo, utajiri wake ni mkubwa sana kuliko kiasi cha uzalishaji wa shamba lake lililopo Tengeru, Arusha.

Mzee Mtei amekuwa akitumia pesa zake binafsi kuendesha shughuli zote za CHADEMA tangu ilipoanzishwa mpaka ilipofikia hatua ya kupata wabunge na ruzuku. Huu ni utajiri wa hali ya juu. Sio mbaya kuwa tajiri, lakini utajiri wa mtu ni lazima uendane na kiasi cha kodi anacholipa. Mtu akiwa tajiri sana lakini katika orodha ya walipa kodi haonekani, ni ishara ya ufisadi.

Ukwasi huu wa wanasiasa hawa wawili walioitumikia BoT na kuamua kuunganisha familia zao kwa njia ya ndoa ya binti wa mmoja wao unatokana na chanzo gani?

Je, kuunganisha familia hizi ni njia ya kuongeza uaminifu wa "ushirikiano" waliokuwa nao tangu BoT? Je, "ushirikiano" wao waliouanza BoT unaendelea ndani ya Chadema? Je, hii ndio sababu ya Mzee Mtei kulazimisha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti na kukataza wagombea "who are from nowhere"?.

Je, biashara ya ukumbi wa muziki inamuwezesha mtu kumiliki mabilioni nje ya nchi? Kiingilio bilicanas ni shilingi ngapi kila mtu? Kwa siku wanaingia watu wangapi? Je, zinatosha kununua nyumba Uingereza, Marekani, Afrika Kusini na Dubai?

Chademaphobia inakusumbua hivi umezalishwa watoto wangapi?
 
Mlera mada ameleta mada nzuri tu na kwa watu wanao jibu kistaarabu humu ndani tunajifunza mengi tu, kila mtu ana kitu anacho fahamu na ni vizuri kuchangia. Ufisadi upo kwa nguvu tu hapa nchini, ndani ya ccm na hata hao viongozi wengine wa vyama vya upinzani nao pia walisha chota ya kutosha tu na sijasikia hata mmoja aliesema mimi narudisha nilicho kichukua ''well well hakuna atakaye diriki kusema hivyo''!!
Na kwa hao wasio jibu au kuandika kistaarabu ni vizuri mka waacha tu, hakuna haja ya kuwajibu kwani ukimuongelesha asiokua na akilie hamtaelewana mpaka kesho au milele. Labda kuna siku watajifunZa baada wao kuona wamekua ignored.
 
yan watz tushazoe burebure tu asa watu wamelipwa pesa zao mnawaita mafisadi yan cc wabongo sijui tukoje

Pendolyimo bwana, tehe.. kama kawaida yako dada tangu upo JF kwa ajili ya IPTL tu na si zaidi ya hapo na rohoni kwako unajua ni nini unachokifanya. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki mama na azidi kukupa uhai ili uzidi kuwatetea watanzania wanyonge wasizidi kudhulumiwa na manyang'au.
 
hivi mnaijua aishi hoteli baba yake mbowe alikuwa na mali nyingi kuliko mnavyodhani kusema mtu anategemea hela za Bilicanas ni ushamba mkubwa na kutoka kwenye mada lo fanya uchunguz kidogo kabla haujapost
 
=> Sbb umeolewa, unafikiria kwa mak.al.io...yapo wazi, so definitely u won't know gharama ya umeme, waache tunaofikiria kwa ubongo sahihi tuchangie...ur thinking tigo ward...!!"


quote_icon.png
By FaizaFoxy

Ulitaka upewe umeme wa bure?

 
hivi mnaijua aishi hoteli baba yake mbowe alikuwa na mali nyingi kuliko mnavyodhani kusema mtu anategemea hela za Bilicanas ni ushamba mkubwa na kutoka kwenye mada lo fanya uchunguz kidogo kabla haujapost

Alizipata wapi? Nae alikuwa mtumishi wa umma?
 
Pendolyimo bwana, tehe.. kama kawaida yako dada tangu upo JF kwa ajili ya IPTL tu na si zaidi ya hapo na rohoni kwako unajua ni nini unachokifanya. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki mama na azidi kukupa uhai ili uzidi kuwatetea watanzania wanyonge wasizidi kudhulumiwa na manyang'au.

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Ulitaka upewe umeme wa bure?

Si uolewe tu kama mimi, sijui hata umeme unanunuliwa saa ngapi, utapata umeme wa bure.
 
Mzee Tupatupa safari umeamua.Ngoja niunge mkono hoja "BRING OUR MONEY BACK"
 
Rudisheni pesa zetu.
Nyie ma interahamwe!
 
Wewe umeolewa au unaishi na mwanaume tu akutimizie haja zako?


quote_icon.png
By FaizaFoxy

Ulitaka upewe umeme wa bure?

Tafuta na wewe mwanamme wa kuishi nae atakutimizia haja zako na utapata umeme wa bure.

lakini hao IPTL hawatoa umeme wa bure.
 
Back
Top Bottom