Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,561
- 1,174
Kama unajijua kuwa unaishi na mtoto wa watu na hujajitambulisha wala kutoa mahali kwao, basi wewe ni mmoja wa wafuasi wa Boko Haram, nasema hiviiii #BringBackOurGirls .
Mkuu hiyo ngumu sana ndo maana unaona hamna aliyereply watu ni boko ham waliobobea