Bring Back Del Kisandu.

Kila nikiona nyuzi yako MTEMI MKUU napata faraja kuwa Mimi nna afadhali.....kumbe kuna watu afadhali yangu
 
Mkuu kile chama chako umeshasajili? nakukubali kinoma ntakuwa wa kwanza kuomba usajili
 
Nawe umetekwa.. Jitahidi uende na smartfone tutamiss nyuzi zako
 
Uwiiiiiiiiiii
Dah huyu jamaa yetu leo hajatoa mpya?
 
Bado nastaajabia maajabu ya Mungu! Sijui angetuumba tufanane dunia ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…