Bring Back Del Kisandu.

MI NLIJUA UNETEKWA KAMA AKINA ROMA..KUMBEE!!!
KESHO ASUBUHI
PANDA BASI UENDE DODOMA NAULI NALIPA MIMI MWENYEWE.. SHUKA KITUO KINAITWA MIREMBE..KUNA WATU NIMEAGIZWA WAJE KUKUPOKEA.WATASHUGHULIKIA TATIZO LAKO.
 
Kudadadeki! CHIZI KAROGWA TENA! Na balaa zaidi kapanda mtumbwi wa vibwengo!
 
Nimecheka sana aseee!..asee We deo kweli unafuraha sana kitaani!

leo hii nyuzi ya ngap vileee!

ha ha ha haaaa...safi sana kaza buti,watakubring tu maana hata huna faida nao
 
Niko mgahawani hapa samaki samaki,nimeangua cheko mpaka nimepaliwa!Mdada mmoja;Pole kaka,kwani kuna nini?Nikamjibu mambo ya dunia tu!
 
Mkewangu... Njoo pande hizi.!! Kimenukaaa...

Tafadhali njoo na lile bango langu nililolichora asubuhi kwa ajili ya maandamano kumtetea tunu ya taifa hili... Mtemi kiongozi D. N. Kisandu..



Mkuu kisandu mimi nakutia moyo, japokuwa wanakifanyia fitina, ila naamini "hautaishia kuwa Waziri Mkuu tu, bali utakuwa mpaka rais kama ulivyopangiwa"


# BringBackDelKisandu


Cc Nifah
 
Deo ujue unaumwa...!
 
Angalia wasikubandue.maganda
 
Hahaahahahahah deo lazima una undugu na bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…