Brightermonday.com ni jipu

Tayoa uchafu mtupu! Huko brighermonday sisi tumekamata kazi! TatiZo mnashindwa ku build profile zenu kule ndiyo maana mnakimbilia tayoa mnakotuna ma cv na mabarua kwenye email! 🤣🤣🤣
Hebu waelekeze basi how to build profile huko,brighermonday!! Tayoa wanatoa tangazo,wanakupa na address na ofisi inafanya kazi gani,but huko BM wanakuambia tu,a reputable company!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu mnatakiwa mjue website kama BM na zoom tanzania ni kama ubao wa matangazo tu ya kazi. So kutuma barua yako na cv kupitia wao kwamba itafika hiyo haitoshi..

Wenyewe wanaangalia traffic wanayopata tu. Lakin hawajali ww kupata kazi au lah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayoa uchafu mtupu! Huko brighermonday sisi tumekamata kazi! TatiZo mnashindwa ku build profile enu kule ndiyo maana mnakimbilia tayoa mnakotuna ma cv na mabarua kwenye email! 🤣🤣🤣
Wewe utakuwa mmoja wa hao mafisadi wa BM, Ishu sio ku build profile yako, ishu ipo kuona zile notifications baada ya kuomba kazi,wanakuambia upgrade account kutoka basic to premier job seeker ambayo unatakiwa ulipie Tsh 30,000 per month kama c utapeli ni nini,
 
Hoa wahuni tu...wanagenerate hayo matangazo ya ajira wenyewe, wanapost wenyewe...ili tu kupata visitors wauze matangazo lkn hamna cha ajira wala nn
 
Halafu km kweli wanatoa ajira...mbona wahaweki contacts za waajiri km vile Zoom Tanzania wanavyofanya hapo zaman? naona watakuwa washaungana na Zoom Tanzania pia maana hata huko ni matngazo ya Brighter Monday tuuu.
 
Halafu km kweli wanatoa ajira...mbona wahaweki contacts za waajiri km vile Zoom Tanzania wanavyofanya hapo zaman? naona watakuwa washaungana na Zoom Tanzania pia maana hata huko ni matngazo ya Brighter Monday tuuu.
Ni ndugu moja na zoom ndy, me niliwahigi kutoa 30k nime apply kazi kama chizi na naona kbs nakizi vigezo lkn sijawahi itwa hata kwa bahati mbaya....naanzaje kutoa tena elfu 30 mwezi mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom