Mosalah_
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 314
- 720
Hello watafutaji wa Jf,
Dua na sala nyingi sana kwenye mapambano ya kutafuta kazi/ajira nakubali sana brothers and sisters mna push vya kutosha.
1. Unapojitafuta epuka kuwa na tamaa ya pesa ndugu yangu, kwa sababu pesa zitakuja pale watakapo ona thamani ya kazi yako, bora ufanye kazi bure upate ujuzi utakulipa mbeleni na pia ebuka na madili ya ovyo ovyo.
2. Epuka kutumika vibaya, Mfano we ni accountant umeomba internship sehemu wamekuita then unaenda kupiga kazi, we kutwa nzima unatumwa dukani, mwisho wa siku hukui na hawaoni thamani yako umeisha.
3. Epuka ujuaji unapo pewa nafasi, usikamie mchongo kama umepata sehemu kubali kuwa chini wakubwa wakupe madini upate kufanikiwa kwenye field yako, ukileta ujuaji sana uliowakuta watajua kabisa jamaa uwenda anataka kuchukua nafasi yetu ,so hawatakupa ushirikiano na pia hauta dumu.
4. Acha dharau, acha dharau ndugu mtafutaji mwenzangu umepata nafasi basi itumie sio unaanza kulinganisha sehemu uliyopo na taasisi kubwa kama TRA, TPA, TBS. Kama kampuni ni ndogo imekupa nafasi kuwa chachu ya mafanikio ya hiyo kampuni acha majungu ndugu.
5. Usipende ku push kuhusu mkataba kila saa kama kampuni au taasisi itaona inafaidika na wewe itakupa tu, sio kila ukimuona HR, BOSS mada yako ni ile ile mkataba inaboa sana.
Siku si chache nimekataa kutumika vibaya na moja ya construction company, based on mechanical engineering projects ya wahindi, wahindi mungu anawaona hawa majamaa ukija ofisini wanakupa kazi yoyote ile, mostly ni zile ambazo hazikuongezei kitu kwenye cv yako, ila wahindi wenzao wana watreat vizuri kweli.
Ndugu waajiri mtuamini, mtupe fursa tutazitumia vizur JF isiwe kigezo cha kuto tuamini kama kuna mchongo wa mechanical engineer njoo PM tajiri.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app