Brigedia General Mbaraka Mkelemi

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,392
3,017
Habari za Jumapili Wananchi wenzangu?

Miaka ya Mwisho ya Utawala wa awamu ya Nne chini ya Dr Jakaya Mrisho Khalifan Kikweni,kulikua na Aide de Camp wake Kanali Mbaraka Mkelemi....

Baada ya Jakaya Kikwete kuisha mda wake,Kanali Mkelemi akaendelea na Serikali ya awamu ya tano ya Magu....

Mwaka jana Kanali Mkelemi alipanda cheo na kua Brigedia General,kiasi cha kwamba kwa cheo chake,hawezi tena kua Aide de Camp wa Magu,maana yeye mwenyewe kwa cheo chake anatakiwa kua na msaidizi au Aide de Camp....

Sasa nauliza yuko wapi huyu Brigedia General? Alipewa post wapi baada yakupanda cheo? Kuna siku nilimwona pale Don Bosco viwanja vya Basketball jamaa katulia kama sio kigogo flani hivi,mwenye kujua huyu Brigedia General alipo,nitafurahi sana nikipata jibu...
 
Ukitaka kupata taarifa zake, panda gari yoyote ushukie parm beach elekea Makao Makuu ya jeshi pitia mlango Mkuu utakuta watu wa usalama wa jeshi na Ma MPs watakupatia taarifa zake.
 
Hakufanania na wa sasa na alitakiwa kupanda cheo kitambo sana sasa ili kumuondoa ndo akapewa stahiki yake then by default akawa katoka. Kama umeelewa sawa
 
Hayo majibu ya wakuu hapo juu yanajenga afya ya kifikra na akili.Inaonesha watu walivyovurugwa na life usawa huu.Kazi ni kwako mleta uzi.
 
Wasingeweza kumuondoa kama nyanya bali wametumia njia ya cheo...
 
Mada yako imeiiludisha akili yangu mbali sana..............

Miaka mingi sana iliyopita wakatii huo iringa baridi ikiwa kama baridi la Ulaya, nikiwa kijana mwenye muda na nguvu ya kufanya mengi nilikuwa nikipeleka vitu kadhaa iringa mjini nikitokea kwetu kijijini Pawaga nilikuwa nikifika sehem tofaut ilinibidi nipumzike, vituo vyangu vya kupumzika vilikuwa ni kama Kiwere, Luganga,na pumziko la mwisho ilikuwa Ipamba, nilikuwa napumzika maana ilinibidi niwe na nguvu niingiapo mjini pia mzigo ulikuwa mkubwa, katika pumzika yangu nikapata kujenga urafiki na watu wengi sana maeneo kama luganga nilipata marafiki kama akina Donald ambaye alikuwa mwenyekit wa kijij, mwl Ngamlagosi nk, pale kiwere nilipata marafiki pia akiwemo mtu aliitwa Dunda na nilipofika maeneo flan karibu na mji pia nilipata marafiki akiwemo MM, alikuwa rafiki mpole, mkarim, msiri ila mwenye hasira kali unapopita anga zake, jamaa alikuwa na akili sana kias kwamba wengi walimtumia kama mshaur ingawa alikuwa na umri mdogo... Niliwah kusikia jamaa alikuwa ni muajiliwa pahala flan lakin nilishangaa inakuaje muajiliwa kila siku namkuta hajaenda kazini!!!! Miaka ilipita na MM akapotea ghalfa hali iliyosababisha tuwaze mengine ila katika hali isiyo ya kawaida MM alikuja kutushangaza wote tuliomfaham yan kuanzia majilan, marafiki, ndgu nk kwa maana tulikuja kujua undani wa MM............urafiki wangu na MM ulizidi miaka 8 na tulishibana sana japo kiumri aliniacha miaka kadhaa hivyo hata hadith niliyonayo juu ya huyu ndgu ni ndefu sana ila MM ndiye huyu ambaye leo ni Brigadier General pale Tanga na ndiye alikuwa Aide de camp wa jk!!hafikiki na hagusiki kijana wangu amejalib kuingia jkt miaka kadhaa mfulululizo bila mafanikio ila kama MM angefikika bhas kijana angekuwa mbali
 
Ukitaka kupata taarifa zake, panda gari yoyote ushukie parm beach elekea Makao Makuu ya jeshi pitia mlango Mkuu utakuta watu wa usalama wa jeshi na Ma MPs watakupatia taarifa zake.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
MKUU Mleta Mada bwana Mbaraka MKELEMI ni mwenyekiti wa bodi ya misitu Tanzania (Tfs )Kama unamuhitaji Njoo morogoro upate Taarifa zaidiii
 
Back
Top Bottom