mimi nilidhani hawa azam wanapromote vijana kutoka academy yao wenyewe ili kukuza vipaji,mhh haya lete mitumba na sisi tuvae.Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani.... Je is this right move kwa Azam au yaleyale ya kuleta maproo mizigo?
Angekwenda Lunyasi msingeongea haya yote ila kwa kuwa for another time Al Shabab kapigwa bao ndio mnaongea mbona nyie hamuwa promote wenu kina singano na edo mmekwenda kumlipa mkwanja mrefu Okwi
ishu ni kukomoana kwendaq mbele wamemchukua baada simba kutaka kumchukua.....jino kwa jino.....kipre boko wa nini sasa huyomimi nilidhani hawa azam wanapromote vijana kutoka academy yao wenyewe ili kukuza vipaji,mhh haya lete mitumba na sisi tuvae.
azam wanasajili sana pengine kuliko hata simba na yangaWaacheni na Azam wasajili kidogo banaaaa Kila siku Simbaaaaaaa simba simbaaaa simbaaa.....au Yangaaaa yanga....yangaaaaaa yanga...tumechokaaaa!
wapromotiwe mara ngapi mkuuAngekwenda Lunyasi msingeongea haya yote ila kwa kuwa for another time Al Shabab kapigwa bao ndio mnaongea mbona nyie hamuwa promote wenu kina singano na edo mmekwenda kumlipa mkwanja mrefu Okwi
ndio maana hata soka la tanzania halikui kwa sababu hii tunawalea vijana kwenye ma academia kama zinavyoitwa lakini baada ya muda wanapotea kwa sababu hawathaminiwi jee hii ni haki?kweli kuna maajaabu duniani.jee na uhai kup ni mradi wa mtu au ?
uhai cup inatoa vipaji ila roho mbaya nakujiona wanataka uzungu ndio kinatusumbua hapa tz..