Brexit

Brexit

Ubuntu trusty tahr

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
326
Reaction score
228
Hello ,Tanzania ,Wakuu ,Ndugu ,Jamaa na Marafiki katika pita pita yangu huko duniani nimekutana na kitu kinachoitwa Brexit nikaona sio mbaya kama sote tutakijua walau kidogo
:
Brexit ni Kifupisho cha neno British Exit limekuwa linatumika mara kwa mara kuzungumzia Mpango wa Uingereza Kujitoa Umoja wa Ulaya European Union.
:
Kwanini Uingereza Inajitoa ?
:
Mnamo tarehe 23 Alhamis 2016 Kura ya maoni ilipigwa na takriban watu milion 33 huku ikiuliza swali moja tuu kwa wapiga kura "Uingereza iondoke au iendelee kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya".
:
Takribani asilimia 48 % hadi 52 % ya kura zilizopigwa ziliafiki Uingereza Kujitoa Umoja wa Ulaya Ijumaa March 2019 lakini mpaka sasa Mafanikio ya Mpango huo yanasua sua kwani tarehe hiyo ilisogezwa mbele hadi 12 April 2019 na baadaye 9 April 2019 Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alitarajia kukutana Na Chancellor wa ujerumani Angela Markel na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuomba muda zaid hadi 30 June 2019
:
Maafikiano ya Kuondoka
:
Moja ya mambo yaliyoainishwa katika maafikiano ya Uingereza kuondoka ni pamoja na
:
# Kiwango cha fedha Uingereza itatakiwa kuulipa Umoja wa Ulaya ili kuondoka( kuvunja uanachama £39 bn.)
:
# Mambo yatakuwaje kwa Raia wa Uingereza wanaoishi nchi wanachama Umoja wa Ulaya vivyo hivyo Raia wa Nchi wanachama Umoja wa Ulaya wanaoishi Uingereza
:
Huenda wazungu nao Wanahujumiana wao kwa wao katika kufanikisha huu Mpango.
:
Kwa leo niishie hapa ,,Wataalam wa Haya mambo waje watujuze Zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
£ 39 Billion ni sawa Kama Tshs 140 Tirion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom