BRELA Nimekwama kujaza muda wa mahesabu

conservative3

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
828
500
Salaamu

Naomba kuuliza sehemu ya kujaza muda wa kupeleka return najaribu kujaza imekwama, je wenye ujuzi naomba msada inatoa ujumbe huu

Accounting year to be only dates at the end of the month. / mwaka wa hesabu uwe tarehe tu mwisho wa mwezi.
Nimejaribu kuweka tarehe bila mwaka yaani mwezi na tarehe lakini wapi haikubali
 
Top Bottom