Brela ni kizungumukuti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brela ni kizungumukuti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1975, Jan 31, 2012.

 1. 1

  1975 Senior Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani nimegundua kwamba utaratibu uliopo ofisi namba 309 brela si sawa na nikikwazo kikubwa kwa kuregister trade marks.Leo nimeenda pale na nimekutana na dada mumoja mweusi anamajibu mabovu kama nini?Swali langu hivi viongozi wake wanafanya nini kumuchukulia hatua au kumpa elimu ya customer care.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkono wa birika, kaka
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dem wa mkubwa!
   
Loading...