Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
Wadau, nawakaribisha kutazama na kutoa maoni yenu ya kiufundi (Animation & Motion Graphics Based Opinions) juu ya Video hii ya wimbo "ukimwona" wa Diamond Platnumz.
It's a full Kinetic Typography Music Video,Nai premiere kwa mara ya kwanza JF kupitia kwenu Wadau makini wa jukawaa hilli la Tech,Gadgets & Science.
Sina shaka hii ni ''kinetic Typography ya kwanza ya Mziki toka Tanzania kuwepo Youtube".kama ipo/zipo kabla ya hii,nitaomba link.
Asanteni na Karibuni.
Adobe After Effect.

Last edited by a moderator: