jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Nani anitafsirie hii maneno?
Valentina leo nimekuacha, ofcn kwetu kuna mtu kanitafsiria na nimeikubali.
Nampa five mtoa mada kwani kasema ukweli mtupu.
Vale siwezi kutafsiri maana alivyokuwa ananitafsiria nilikremu ili nikusaidie sasa vimeondoka vyote kichwani.
naamini watakuja wengine kusaidia.