Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,373
Sounds like a sweet revenge to me. Serves right all those suckers who wronged me, there is a god out there, thank you. Keep feeling the pain... suckers!
Hahahaaaaa
Sounds like a sweet revenge to me. Serves right all those suckers who wronged me, there is a god out there, thank you. Keep feeling the pain... suckers!
Paulo Sergio De Souz
Hivi unayoyafanya hapa ni sifa au???
Sasa dikshenari ya english swahili wengine tunaitoa wapi???
Valentina donti wore mkarimani nimefika, sasa ni hiviii
Mada inasema kuwa wanaume hawana budi kutupatia fedha,yaani watupatie fedha hadi wenyewe tuseme baaaaaaaaaasi, na hakutakuwa na tatizo lolote, kama kuna nilichosahau paulo utanisaidia kuongezea.
Aaah atoto nipe diktenari yangu puliiz.
Mnapoachana, mwanaume hafeel chochote kwa mara ya kwanza. Yani anachukulia poa tu like it's over basi. While mwanamke hapo unakuwa kama huamini vile, unawish kama akutext " baby nilikuwa nakutania" lol. Sometimes tunajitahidi hata kubembeleza lakini vidume vinatia ngumu
Kitakachofuata hapo, most of mabinti tutaanza kulia weee hadi sura zipoteze muonekano. Yani tutakuwa na bad days zetu 3 4 pale + lazima kumsimulia best friend angu "shoga angu nimeachika", tutatiana moyo hapo wenyewe teh . From hapo ntaanza na kucheka afu mdogo mdogo naanza kuzoea kuishi bila yeye (man). Hapo mwanaume yeye hana hata habari, anakula good time tu. Baada ya mwezi hivi au ka muda fulani ndo mwanaume anaanza kurealise what he has lost. Mwingine atamtafuta na girl wake ili wasolve matatizo yao but binti ndo kashamove on. Kwa hiyo men takes a while to realise what they have lost, afu pia wanawake tupo tough, tunakuwa weak mwanzoni but tukishafanya maamuzi magumu ndo basi tena . Yani utakuta mwanamke ushasahau na maumivu, mwanaume ndo anaanza kuumia upyaaa[/calor]
Ilikuwa dushe ya dhahabu nini? Hakuna dushe linalozidi umuhimu wa shule
Kumbe ndio hivo eeh,basi mada tyamu hii ngoja nimwambie Nyani Ngabu anipe hela sasa
Tena mwambie usiwe unamkumbusha, atoe tu.
But ain't you the one who said you couldn't keep a man? that mean't you the heart breaker, no?
Hebu nisaidie kumwambia hivo eeh
Usijali, tukikutana kwa lile tukio maalumu nitamwambia.
Hata kama hujapata wa kuponya majeraha, still ule upendo unakuwa umeshatoweka. Hata ukijilazimisha yani utaona kabisa mambo hayapo kama zamani. So inabidi tu uendelee na maisha yakoHapo ndio patamu sasa... Anakuja too late ushapata wa kuponya majeraha
Hata kama hujapata wa kuponya majeraha, still ule upendo unakuwa umeshatoweka. Hata ukijilazimisha yani utaona kabisa mambo hayapo kama zamani. So inabidi tu uendelee na maisha yako
Am not a heart breaker,I just push them away so they won't waste their time on me...
Once I was hurt so I know hw it feels...
Got hurt once and now every man gotta pay for what that sucker did huh?! Alright.
But you should know, your future will be much better than your past when you're present with the man. Take it from mah man.