Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Mm nilishawahi kuumizwa na breakup moja tu ya 2017dec.
Baada ya hiyo sidhani kama kuna nyingine itauniumiza.

Afu siku hizi mbona mambo ya kuachana yanabadilika kidigital zaidi? Yaan ni simple mno .

Mara unastukia mtu hajakutafuta siku inapita nyingine inapita ndo basi tena.

Mm nahisi siku hizi tunaachana kisomi zaidi bila kuumizana wala maneno.

Au nadanganya ndugu zangu? Nyinyi mnaonaje breakups za siku hizi?
December ina shida gani..

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Kuna demu moja la kitaa lilikua linasema kwa aliyoyapitia hakubali kuachwa akiona dalili za kutaka kuachwa anawahi kukumwaga ili isimuume..tukamwambia hujakutana na mwamba…kwakua alikua pisi akajaa kwa muhuni flan mshkaj ana mpunga halafu ana haiba..akakutana na mapenzi heavy kutoka kwa mwamba..mara paah mwamba akapita na shost wa demu wake watu wakasema tuone sasa…***** alikua analia ka mbwaa
 
Inategemea mmekaa muda gani,kuna kademu nimetandika juzi na jana leo ,nmekambia tuachane coz kashaanza kuniita mume tuna siku mbili tu..bumbaaaaaaavu
 
Mkitaka msikumbukane achaneni kwa makofi na mitusi mpaka mjaze watu au mlale sentro..mtanishkuru
 
Mbaka saiz hakuna demu nileyekutana naye,, nika fall in love ,
Kiasi kwamba nikiachw naumia,
Huwa nawashangaa Sana watu wanaolia kisa mapenzi,
Yaan mm nikion dalili tu n mtoa moyoni fasta yaani naheshimu Sana hisia zangu ,
Nazi protect Sana, afu viti vidog Kama mapenz vije viniumize,

Ipo siku ..hutaamini
 
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.

Hua siamini kama kuna kuacha wala kuachwa, naamini kuna kuachana

Ukiniacha nachukua maamzi haraka ya kukuacha ,hutantafta wala sitakutafta
Tutakua tumeachana rasmi
 
Maumivu ya mapenzi ni noma kaka. Me sijawahi kuachana na mke wangu na sikuwa najua yale maumivu ambayo watu wengi wamekuwa wakiyaimba kila leo. Kuna muda ulifika penzi letu likapitia dhoruba fulani kali, aiseeh acha kabisa yani kazi chungu, Simu chungu, hutamani kufanya chochote kile na usiombe ukutane na picha zake.

Ukiachika, angalau uwe vizuri kiuchumi na uwe na kampani kubwa ya watu wa maana, kidogo inasaidia. Ila ukiachwa alafu uwe fukara daaaah[emoji35
Mapenz magumu
 
Break ups are not hard. Its just men these days are too weak so they become feminised while women become stronger as they turn Masculine.

Hivi wazee wa zamani walikuwa wanajua kuhusu mapenzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom