Breaking newzzzzzzzzzz......!!!!

Sikudhani mkegani
tembo kiboko
sungura manyani
ukiwaona wa mzuzuri
mizengo pinda
 
Kweli mwalimu mmoja wa alikuja kutufundisha pale Mkwawa enzi zile za high school, wakati wa kujitambulisha akasema eti anatokea Kumamoto!!
 
 
Sasa lile kombe la dunia lilifanyika japan na korea . tmu ya ubelgiji ilipangiwa mji wa KUMAMOTO. na kuna mchezaji wa Ubelgiji anaitwa MBO MPENZA

Sasa kuna gazeti la bongo kwenye michezo lienda kwa kichwa cha habari


sawa kabisa, lilikuwa gazeti la 'spoti starehe'
 

and their daughter inauma takauchi kanyamavi kayashika
 
At least I had AGOOD LAUGH THANK YOU GUYS
 
UTAJUA TU AKILI ZA WATANZANIA; WENGI MIOYO YAO IMEJAA UZINZI NA UASHERATI na ukitaka weka thread ya MATUSI HUMU UTAONA WATU WAKIMIMINIKA na REFERENCE KIBAO. Kosea uulize Adolph Hitler alikuwa nani utasikia majibu ya kuchekesha, mara utaambiwa alikuwa papa wa kwanza au utaambiwa alikuwa rais wa Marekani n.k na wengine watakwaambia huyu adolph Hitler na Hitler ni ndugu?. kipindi hiki cha PASAKA ni cha TOBA hebu angalau hizi siku tatu to purify mawazo yetu for Christ Sake!!!
 
heeeeeeeeee......................damn funny.
You made my day.
 
Lol hata kama ingekuwa kweli nani anauwezo wa kukataa mabalozi sababu ya majina JK ndio angewakumbatia
 
Leo nimecheka sanaana, nice one and thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…