Breaking newz: Msanii wa maigizo hatunaye tena!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi
 
acha kichaa chako cha mwezi mchanga. Magazeti huwa tunawaletea huko? Acha hizo bwana.
 
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi
imbecile
 
bangi nibangue akili yangu iharibu...
 
Nilifikiri amefufuka kumbe amekufa tena...wewe una mawasiliano gerezani wapi pata hiyo mawasiliano bana?nitafutie Liyumba nataka ongea naye kidogo
 
Magereza ya Bongo,wafungwa wana access NET now days?hii kali ya mwaka
 
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi

we kama sio chakula ya nyapara cjui???
 
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo chake na muda aliokufa,maana Afande aliyenidokeza alikuwa yupo bize,na alikuwa hataki maswali mengi

utoto unakusumbua ukikua utaacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom