Bingwa wa dunia x7 wa mbio za magari yuko mahututi. Aumia vibaya ubongo wakati akishiriki mchezo wa kuteleza kwenye barafu Ufaransa Alazwa Grenoble hosp. madaktari wakipigania uhai wake. Aliteleza na kuangukia mwamba akiwa na helmet kichwani, ahitaji upasuaji wa ubongo.