Nikiwa kama mdau wa Juve,mojawapo ya vitega uchumi vya wamiliki wa Ferrari,natoa pole sana kwa nguli wetu Schumacher.Kwa kweli ana hali mbaya,akipona ni mkono wa Mungu tu,na kama atapona ni vema akapumzika manake jamaa ni "toto tundu" kila kitu mjuaji from magari to bodaboda,skiing,soccer etc.24/7 a year yuko bize tu!dah!watu wengine bwana!