hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
Ajali kubwa imetokea muda huu maeneo ya mikocheni dsm baada ya gari dogo alilokuwa anaendesha sisimizi kugongana uso kwa uso na fuso lililokuwa linaendeshwa na siafu. Habari zinaeleza kwamba sisimizi aliumia maeneo mengi ya mwili wake huku siafu akivunjika kiuno na wote wamelazwa hospitali ya taifa ya WADUDU. nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi reporter wako mtaalam.