Ramadhan Chasigwe
Member
- Aug 11, 2014
- 88
- 8
"Mtu mmoja ajiua na kutoroka anafutwa na Polisi"
mmmh! Mkuu, chukua dakika moja ya utulivu kisha soma tena uzi wako,huenda utarekebisha jinsi ya kuufikisha jamvini. Naona kuna utata kidogo kwa taarifa uloitoa. Jamaa ameijua na kutoroka? kisha anatafutwa na polisi?"Mtu mmoja ajiua na kutoroka anafutwa na Polisi"
Ahahahahaaa,hajakosea mbona?au hujajua upo jukwaa gani mkuu?mmmh! Mkuu, chukua dakika moja ya utulivu kisha soma tena uzi wako,huenda utarekebisha jinsi ya kuufikisha jamvini. Naona kuna utata kidogo kwa taarifa uloitoa. Jamaa ameijua na kutoroka? kisha anatafutwa na polisi?
Ufafanuzi please!
hahahaha, inawezekana tatizo liko upande wangu mkuu. Asante kwa ushirikiano mkuu.Ahahahahaaa,hajakosea mbona?au hujajua upo jukwaa gani mkuu?