Peleka jukwaa la habari,hapa n jokes!
Ni joke hiyo mkuu, 'amejiua kisha kakimbia'
usingemuelezea mkuu,angetambua hata kesho au wiki ijayo au hata mwakan
Peleka jukwaa la habari,hapa n jokes!
Then what?
Mtu mmoja ajiua kwa kujipiga risasi kisha kutoroka, Jeshi la Polisi linamsaka kwa udi na uvumba.