nurbert
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 1,887
- 428
Kwa hali isiyo ya kawaida changudoa mmoja
Alipewe kichapo cha mbwa mwizi Baada ya
kugundulika na wenzake kuwa huwa anauza kwa
bei ndogo na saa zingine huwa anatoa kwa
mkopo..kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa
vile kinapunguza bei yao na kuonekana kuwa si wa gharama...inafikia kipindi watu wanaokuja
wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini .....
Kwani unafikiria sisi tutakula wapi kama utaendelea
kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja
akisema huku akishusha kichapo... Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza
kumuokoa katika kichapo hicho...
Mteja mmoja alisikika akisema:
Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on
a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa
wenzake (she offers me services on credit when Im broke so I cant let them kill her),
Mpaka Paparazi Wetu Anaingia Mitamboni Hatukupata Taarifa waliishiana Vip Ma Machangu Wenzake wenye Hasira Kariiii