Breaking news

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
Sasa ni rasmi serikali imetangaza ajira mpya kwa watu wote waliyomaliza vyuo kwa ngazi zote tena zoezi hili litafanyika kabla ya May .1. 2017
pia serikali imetangaza kuongeza mshahara kwa 45% wafanyakazi wote wa serikali na mashirika ya umma, hili linaenda sambamba na sekta binafsi ambapo hao wataongezewa kutokana na mikataba yao inavyosema..

hayo yaliongelewa leo na rais wa Brazil wakati wa kuzindua bunge nchini humo

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Kwahiyo wajinga wameongezeka duniani na kuamua mwezi wote wa April uwe unasheherekewa nao? Silielewi hapa, au mi ndo mjinga nimesahau tarehe leo ni tarehe 1April?!!??
 
itakuwa we ni mjinga kwa sababu unaleta usiriaz kwenye jokes :eek:
 
Mhhh! Hakuna kitu kisichokuwa na kanuni Mkuu, hizi taarifa unazozita jokes zipo hadi kwenye magroup huko, leo ni tarehe ngapi, watumishi wanangojea yapi? Jokes? Swala la mustakabali wa watu na maisha yana jokes? Kila kitu kina kanuni, huwezi ukatoa taarifa za msingi na ukajitetea kuwa ni jokes, kwahyo wote wanazipata ktk jukwaa husika?

Toa matokeo ya uchaguzi, then ukisimamishwa mahakani ukajitetee kuwa ni jokes, kila kitu kina kanuni, hilo tu ndo la msingi.
 
Hii ndiyo umeona uandike baada ya kupumzisha akili! Sidhani kama uko sawa.
 
Mhhh! Hakuna kitu kisichokuwa na kanuni Mkuu, hizi taarifa unazozita jokes zipo hadi kwenye magroup huko, leo ni tarehe ngapi, watumishi wanangojea yapi? Jokes? Swala la mustakabali wa watu na maisha yana jokes? Kila kitu kina kanuni, huwezi ukatoa taarifa za msingi na ukajitetea kuwa ni jokes, kwahyo wote wanazipata ktk jukwaa husika?

Toa matokeo ya uchaguzi, then ukisimamishwa mahakani ukajitetee kuwa ni jokes, kila kitu kina kanuni, hilo tu ndo la msingi.
napenda watu wa aina yako wanabishana kwa hoja si kama wengine wanaropoko tu nakupa credit

mkuu hili jukwa ni spesho kwa jokes yani unapoingia humu moja moja unajua unaenda kuface kitu cha aina gani that's why sijaenda kupost jukwaa la habari,siasa wala kazi na matangazo madogo madogo kwa sababu si issue ya kweli

naomba uelewe kuwa jukwaa hili lipo kwa sababu ya utani na si mambo mengine
 
Hii habari kwa mara ya kwanza nimekutajia nayo kwenye group la whatsap, hasira zilinianza huko, sori.
 
Back
Top Bottom