Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
_Wachungaji wa baadhi ya madhehebu ya ki kristo nchini wamewaonya waumini wao kutoimba pambio la *"simba wa yuda anaunguruma"* katika ibada zitakazo endelea jumaapili ili kuhatarisha usalama wa vifaa vya kanisa na uhaba wa sadaka unaoweza kutekelezwa na waumini mashabiki wa yanga_