Breaking News:- Moto,moto,Moto, nyumba inaungua Chang'ombe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
Hapa Chang'ombe Bora mbele kidogo ya magorofa kuna mafundi seremala, nyumba wanayofanyia kazi inaungua, napiga simu namba ya dharura, sijawapata, nimesha ripoti Chang'ombe polisi
 
Endelea kutujuza kitakachokuwa kinaendelea mkuu
Asante kwa habari
 
<br />
<br />
Nilipiga namba yao ya Landline ikawa haipokelewi ndio nikaenda Chang'ombe kutoa taarifa

Hongera mkuu kwa jitihada ulizochukua. Tunahitaji watanzania wenye moyo kama wako katika kuipigania na kuijenga tanzania ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…