Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,798
Hapa Chang'ombe Bora mbele kidogo ya magorofa kuna mafundi seremala, nyumba wanayofanyia kazi inaungua, napiga simu namba ya dharura, sijawapata, nimesha ripoti Chang'ombe polisi
Endelea kutujuza kitakachokuwa kinaendelea mkuu
Asante kwa habari
<br />dharura au fire?<br />
piga simu fire kwanza
Endelea kutujuza kitakachokuwa kinaendelea mkuu
Asante kwa habari
<br />
<br />
Nilipiga namba yao ya Landline ikawa haipokelewi ndio nikaenda Chang'ombe kutoa taarifa