Breaking news: Milipuko yatokea kigamboni

watakuwa wanajeshi wa kikosi cha majini wameasi kama wenzao wa kule Mali...
 
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

MUNGU wasaidie wakazi wa maeneo ya Kigamboni! Upumbavu wa uongozi wa nchi hii ni kukosa kujiandaa kwa majanga!

Hiki Kitengo cha Maafa (ofisi ya Waziri Mkuu) huwa nadhani maandalizi kwa matatizo ni SIFURI!

Kigamboni kuna kambi ya jeshi (milipuko kama mabomu hawakosi) pia kuna mashushio ya mafuta (zamani TIPER). Kati ya vyanzo hivyo viwili vya HATARI, mlipuko ukitokea popote+kutojiandaa kwetu kukabili majanga=VIFO VYA WANANCHI wasiokuwa na hatia!

Kuna wakati unajuta kuwa na WAZAZI wazembe! Serikali haitutendei haki WAAJIRI wake!
 
Acha ushaku naku jamani hata wanajeshi wakipiga mizinga yao basi ni milipuko mbona hivi Watanzania tuwe tunafanya reseach kabla ya kusambaza habari jamani..

Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Acha ushaku naku jamani hata wanajeshi wakipiga mizinga yao basi ni milipuko mbona hivi Watanzania tuwe tunafanya reseach kabla ya kusambaza habari jamani..
Sindiyo anafanya utafiti au ulitaka akaufanyie wapi utafiti wake...au kigamboni hakuna wana JF
 
Back
Top Bottom