Breaking News.Madereva Daladala Morogoro Wagoma

Breaking News.Madereva Daladala Morogoro Wagoma

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Madereva daladala wamegoma kutoa huduma mjini Morogoro kwa kile walichokitaja kuwa kero kubwa kwao kulipishwa ushuru wa Tsh.300/=kwa kila safari wanayofanya waingiapo kwenye Stand ya Manispaa hiyo.Huku wakisisitiza mgomo utaendelea hadi hapo Uongozi wa Manispaa watakaporekebisha huo utaratibu wa kifisadi.Source Itv Breaking News
 
Kinachowakera madereva hawa ni kulipishwa 300 kila anapotoka stendi, wakati hakuna huduma stendi mbovu imejaa matope, eg stand ya sua, vyoo vibovu, hiyo hela wanapeleka wapi? sasa imegeuka tabu kwa wasafiri, wagonjwa, na huduma zimezorota.
 
Ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm Hakika hamtaona pepo.
 
Back
Top Bottom