nikiwa kama shuhuda wa tukio ama souce kwa kiingereza.nikiwa kama mmiliki wa hotel ya kitalii waliyofikia maharusi.Terms and Condition zetu haziruhusu kutoa taarifa za wateja wetu isipokuwa kwa sababu za kiusalama.ni kweli tuliwapokea maharusi baada ya kushinda tenda.na ghafla baada ya maharusi kuingia chumbani zilisikika kelele kama za ugomvi,ndipo tukamuamuru askari wetu @st pakamweusi na muhudumu Baba V na manager wa hotel mimisa waende kujua kulikoni.ndipo tulipomuona bibi harusi na shela lake akikimbia na kuchukua tax kuondoka.na ndani alikutwa bwana harusi akilia kama mtoto.
hivi hujui kwamba huyo tajiri ni muuni? Then namuogopa kweli maana anatumia doze huyo ya ARV.
Babe hata mie nilisikia hizi habari.. Nimemtafuta Arushaone sijamuona.. Hakuna ambae anaejua yuko wapi.. Liliokotwa tu koti lake ambalo alikuwa amelivaa siku ya harusi yake.. Ila habari ambazo hazijathibitishwa alionekana na mzee wa kimakonde akivuka boda kuingia msumbiji.. Nadhani amepelekwa kwa mganga mashuhuri kule Msumbiji anaejulikana kama Mzee bulitundaga a.k.a makocho..
mmhh babe nawe mpana...........umemjuaje huyu mzee makocho?!?! au ndo maana sichomoi kwako...............mh ngastuka!!!
Hahahahaaaaaaaaaa, Lady doctor kwani hukumkagua Arushaone ile siku?
mkewe anajua ama wanatumia wote.
sijawah ona vidume vimbea, vishakunaku kama vya humu kijijini Cc.
Arushaone na Baba V mkamdanganya shost kumbe kifanyio hakuna.
By Elizabethdominic senior correspondent jf udaku.
Ndoa ya Arushaone na Lady doctor yavunjika usiku wa manane.
Ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na majigambo kati ya fisadi papa Arushaone na former miss temeke Lady doctor imesambaratika jumla.Ilikuwa hivi:
Baada ya kuingia chumbani baada ya shamra shamra Arushaone alianza kulia 'kulikoni?' Akaulizwa na bi harusi, 'sina kikojoleo' akajibu bwana harusi, 'what,unantania,embu vua nione', akavua kweli kuna katobo tu,' ' what happened? Akauliza Lady doctor. Ngoja nikwambie ukweli mke wangu,akasema Arushaone, ' kipindi kile nimemwacha sweetlady kwa hasira aliniendea nanjilinji matokeo yake alikuja panya akaninyofoa dushelele ndo nikabakia hivi" Kusikia hivo Lady doctor hakuwa na la ziada zaidi ya kupakia begi na kutokomea,asubuhi kaonekana ngaramtoni akiwa na Erickb52 na Nicas Mtei wanafakamia thubu.
Habari zaidi tukishamhoji Arushaone
Cc: Baba V ....futa hii ndoa kwenye daftari
kwani ajabu yake nini?
wewe una kijiba cha roho, na ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa humu mjengoni ndoa za cc kuvunjika, na ndiye bazazi mzoefu usiye na daawa hivyo tumekutambua kuwa wewe mchonganishi hivi hujui kuwa sweetlady na Lady doctor ni mtu na binamu yake? Baba V wala usivunje kwani hao wameshaungana hakuna mwanadamu atakayewatenganisha