breaking news:Jengo la benjamini mkapa linawaka moto

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wakuu nipo mitaa ya benjamini hapa kuna moshi mkubwa mpaka mida hii zimamoto hawajafiak///sijiu hii nchi ina matatizo gani
 
Nini kinachoendelea Tujuze mkuu maana isije kuwa msomali kaichoma moto hotel yake kama alivyoichoma ya bagamoyo paradise, alitaka alipwe na Bima lakini wakamshtukia ila isije kuwa issue za april fool
 
Back
Top Bottom