Breaking news...hali si shwari

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Nakumbuka mara mwisho nilikuwa naimba kwaya kwenye mtaro....hapaa nimeshalewa mbaya sijui hata nipo wapi,naomba msaada mnitafute.
 
Nilikwambia bangi huiwezi wewe inakudhuru,
tuachie wenyewe we unang'ang'ania... Unaona sasa wenzako wamekufungia chooni !
 
Back
Top Bottom