broken ages
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 235
- 85
Mzuri wa sura au umbo? Uzuri wa mtu ni kutokana na yale aliyokufanyia wewe binafsi usisifu kama mzembe. Mfano je kama alikua anatoa mimba? Vile vitoto vilivyonyofolewa navyo vibebe unafki wa kusifu ujinga
utoto unakusumbua, kakojoe ukalale mbwa wee
..kama unayo akili yako timamu na u mwadilifu wa hata kiasi tu chukulia ikiwa wewe ndiwe uliyefikwa na msiba wa namna yeyote ya mtu anayekuhusu kama mzazi,ndugu,jamaa na hata rafiki halafu unapewa bezo ama maneno ya kebehi kama unayoyatoa wewe ukiyasoma maneno kama hayo na ukiwa ndani ya masikitiko ya kuondokewa na umpendaye utajisikia vipi? Tujifunze ni maneno gani ya kuwaandikia wenzetu na kwa wakati gani.mwisho namalizia kwa kuwapa pole Nyingi sana Wale wote walioguswa na msiba huu mungu awape nguvu ya kuvumilia na kuvuka kipindi hiki kigumu Bwana ampe pumziko la amani...amina.
Kimara Mwisho(Bakery)
Mbezi Beach(Samaki)
Kurasini(Wapo Mission Centre)
Kote huko utazipata zahanati za Good Samaritan mkuu
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.
SOURCE: Mke wa marehemu.[/QUOTE
RIP Dr Lyimo, sina namna ya kuelezea kwani nimefahamiana na Dr Lyimo mwezi march 2012 wakati marehemu baba yangu alipokuwa anaumwa na kugundulika ana Cancer nikamtafuta nikiwa na vipimo vya baba yangu kwa ushauri zaidi. nilimkuta katika dispensary yake ya good samaritan. Aliongea nami vizuri sana tena kwa upendo mkubwa. Na ushauri wa wenye experience kutoka kwake mwenyewe. Dr Lyimo alikuwa na uzima wenye ushuhuda kamili kuwa Mungu ana miujiza. Mungu kazi yako haina maswali, tunaamini atapumzika kwa amani. Amen
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.
SOURCE: Mke wa marehemu.
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! aiseeeeHivi unaweza kuamini huyo Dr Simfahamu ila nime guess tuu kwasababu nimezoea kusikia marehemu walikuwa watu wazuri sana.
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.
SOURCE: Mke wa marehe
Ri.p
Ndiye.