Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:
Definetely so. Very kind and caring dr. A man to his job who served with esteemed stewardship and integrity and Godfearing too. Kwa waumini wa parokia ya Upanga RC alijuwa katibu wa Parokia. Will be missed for ever. RIP Dr. na pole sana kwa familia.
RIP Dr Lyimo,hiyo Samaritan Dispensary ipo wapi?
Hivi unaweza kuamini huyo Dr Simfahamu ila nime guess tuu kwasababu nimezoea kusikia marehemu walikuwa watu wazuri sana.
Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:
Heeeeh! Mbona umekuwa mkali hivyo? We ndo ulimroga nini? Hapa JF tunapeana habari faster,. Hata hao ndg wa karibu wakichelewa kujua atafufuka? Kama unaroho nyepesi get OUT f JF. Baba yako anaweza kutukanwa humu utatoka roho wewe.:madgrin:Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:
Heeeeh! Mbona umekuwa mkali hivyo? We ndo ulimroga nini? Hapa JF tunapeana habari faster,. Hata hao ndg wa karibu wakichelewa kujua atafufuka? Kama unaroho nyepesi get OUT f JF. Baba yako anaweza kutukanwa humu utatoka roho wewe.:madgrin:

Mzuri wa sura au umbo? Uzuri wa mtu ni kutokana na yale aliyokufanyia wewe binafsi usisifu kama mzembe. Mfano je kama alikua anatoa mimba? Vile vitoto vilivyonyofolewa navyo vibebe unafki wa kusifu ujinga
Jf ni moja ya chombo cha kupatatia breaking news.Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
Mkuuhakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.
hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.
hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.