BREAKING NEWS: Canecutters Illovo Kilombero Sugar waweka mapanga chini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BREAKING NEWS: Canecutters Illovo Kilombero Sugar waweka mapanga chini.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Magane, Aug 16, 2011.

 1. M

  Magane Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wakataji miwa aka wajomba wa Kampuni ya sukari Kilombero wamegoma leo kwenda kazini kwa madai kwamba wamedanganywa na wakuu wa wilaya za kikombero na kilosa kwamba wangekuja jana tarehe 15.8.2011 kuja kuwapa majibu ya madai yao. Hali bado ni tete. FFU wametanda kila mahali hapa kiwandani.
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi watu wakigoma FFU wanatafutia nn?mm ninavyojua ni kuwa walitakiwa wawapatie ulinzi tuu!ngoja siku FFU nao wagome sijui nani atamwagia mwingine maji ya washa washa
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mgomo ukiendelea bei ya sukari itazidi kupaa. FFU wangetufaa zaidi wakikata miwa badala ya waliogoma.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  wanaenda kukamilisha kazi yao yakuendeleza ghasia ndo maaana kama hamfanyi fujo wao wanaanzisha hizo fujo..
   
 5. n

  nexus Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  wapeni haki zao hiyo kazi ni ngumu sana
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Narudia tena kusema FFU wataishia kuishi kwenye nyumba za Mbwa na Kuku, siku moja nilitembelea kikazi ile kambi yao pale Tanga majani mapana yaani huwezi amini kuwa wanaishi binadamu, wapuuzi wakubwa hawa, hata kuku wa kisasa wanaishi sehemu yenye hadhi kidogo, tangu lini baba akala na mama na mabinti zake pamoja? Nenda kwenye kota za polisi utaona hata sehemu wanazonyea vyoo vimefurika!!! Pumbav kabisa halafu leo stress zao wanahamishia kwa wananchi!!!
   
Loading...