Breaking news:Basi la meridiani lapata ajali.

Breaking news:Basi la meridiani lapata ajali.

Poleni sana majeruhi! All in all haya malori ya Meridian hayafai!!
 
Ashukuriwe mwenyezi poleni sana majeruhi naye atawaponya!
 
Mbooehen Vamekhu na Vashekhu....

ye mmeku,kyorombo asili yakwe mi ujerumani ,kila neno dhasina vaike herufi "V" vasheki vameku,veesha, veenda, vesukwa...... volkswage.......
mboheni sana!
 
Asante sana mbiirwa ngvishi!!

kure mbiirwa ngvishi mmeku,iru ivishi likamevira waamba nio lidhawa mbiirwa? au division 5 ya mulugo?
jamaa shu ni mbiirwa sa wari au selaa? sa inguve,mnyengedhe,mhoyo au ksukari?
 
tubadilike na tupande mabasi yanayostahili kubeba binadamu kama sai baba, dar express

mkuu saibaba na dar exp wapunguze nauli.meridian watu wanapanda sababu nauli yao iko chini, na si unajua asili yetu ya wabana uchumi, halafu meridian ni kitu mwendo mdundo, king of the route.
 
kure mbiirwa ngvishi mmeku,iru ivishi likamevira waamba nio lidhawa mbiirwa? au division 5 ya mulugo?
jamaa shu ni mbiirwa sa wari au selaa? sa inguve,mnyengedhe,mhoyo au ksukari?

Hahahaaaa.....wangsesa bhaasi.....ngiishi fyoose piu amba ngakunda imsubwa tiki..
 
mkuu saibaba na dar exp wapunguze nauli.meridian watu wanapanda sababu nauli yao iko chini, na si unajua asili yetu ya wabana uchumi, halafu meridian ni kitu mwendo mdundo, king of the route.

Siku hizi pia kuna Wakati Express kama cjakosea but cjajua nauli zao..
 
Jifunze Kiswahili Siku Nyingine Ukisema Basi Limepata Ajali basi Lazima Utupe na Idadi Ya Watu WALIOKUFA na Kama Basi Limepata tu Ajali na Halijaua Mtu Yoyote basi Kwa Kiswahili Fasaha Unatakiwa Kusema Basi LIMETELEZA na LIMESIMAMA tu Eneo la Tukio ( Ajali ). Hicho Ndicho Kiswahili Maalum ( Sanifu ) Kwa Mikasa.
Aise.
Mbona ata kwenye div5 mwenzetu haumo?
 
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
tubadilike na tupande mabasi yanayostahili kubeba binadamu kama sai baba, dar express

Basi za Meridian ile njia zinapendwa sana na hakuna wa kushindana nae! Wana kauli nzuri sana na ni gari za uhakika kuhusu ajali hata upande ndege unaweza kupata ajali tuache chuki binafsi na wivu wa kike.
 
Back
Top Bottom