Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
ni morogoro road eneo la mbezi lous kwa msuguri,gari la mafuta limeacha njia na kuanguka katikat ya barabara nakusababisha folen kubwa huku watu wakijichotea mafuta bila kuzuiwa na mtu.polis wanahitajika ili kuzuia mlipuko wowote.hakuna aliye kufa.