Breaking news:afya watoa post

Breaking news:afya watoa post

Lilnasser

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Hayawi hayawi sasa yamekua hatimaye wizara ya afya wamebandika majina ya waliochaguliwa katika makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo AKIBA kwa wale wa DSM
NB:Kwenye mtandao bado hawaja upload
 
Sawa mkuu nitakwenda kucheki baadae kidogo
 
Moh hawawezi kubandika post za waliochaguliwa kabla hawaja upload mtandaoni..makao makuu ya wizara ya afya hayako akiba bali yako shaaban robert street opposite na chuo cha i.f.m kuweni na uhakika na taarifa mzitoazo.
 
Uwiiiiii jamani watatoa lini sasa
 
Moh hawawezi kubandika post za waliochaguliwa kabla hawaja upload mtandaoni..makao makuu ya wizara ya afya hayako akiba bali yako shaaban robert street opposite na chuo cha i.f.m kuweni na uhakika na taarifa mzitoazo.
UTABISHIA HADI KIFO
WEBSITE ipo down for maintainance muda huu
 
Wamewatesa vijana na wanazidi kuwatesa maana wa Kaisho atayaonje kama yapo kwenye mbao za matangazo wizarani?
 
Hayawi hayawi sasa yamekua hatimaye wizara ya afya wamebandika majina ya waliochaguliwa katika makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo AKIBA kwa wale wa DSM
NB:Kwenye mtandao bado hawaja upload

Makao makuu ya wizara ya afya hayapo AKIBA,changanya na zako
 
Back
Top Bottom