BREAKING MANYUZI Hatimaye Mbuzi Mzee afumaniwa kasheshe kweli jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
643942_152243014922272_1186399861_n.jpg

Nimeamshwa na ugomvi huu hapa dark city nikaukimbilia nione mama gani anapigwa eh nilicho kiona sikuamini nikasema hapana ngoja nitake one photo kwa ajili ya funz wangu.
 
sasa Mzizi Mkavu, huyo wa juu ndio mai waifu wake Mbuzi Mzee??
 
643942_152243014922272_1186399861_n.jpg

Nimeamshwa na ugomvi huu hapa dark city nikaukimbilia nione mama gani anapigwa eh nilicho kiona sikuamini nikasema hapana ngoja nitake one photo kwa ajili ya funz wangu.

Wampeleke Zenji kwanza wakamtoe huo mzuzu kwa kipande cha chupa kama wale wengine.
 
Baada ya muda mrefu kupita tutakuja kubaini kuwa mfumo jike ni hatari zaidi ya mfumo dume tuliouzowea...hapo si ajabu
mme aligeuza shingo kuangalia mwanamke mwingine aliyekuwa akikatiza njia...ghafla!!!!!!!!!!!!!!!
 
643942_152243014922272_1186399861_n.jpg

Nimeamshwa na ugomvi huu hapa dark city nikaukimbilia nione mama gani anapigwa eh nilicho kiona sikuamini nikasema hapana ngoja nitake one photo kwa ajili ya funz wangu.
Baada ya muda mrefu kupita tutakuja kubaini kuwa mfumo jike ni hatari zaidi ya mfumo dume tuliouzowea...hapo si ajabu
mme aligeuza shingo kuangalia mwanamke mwingine aliyekuwa akikatiza njia...ghafla!!!!!!!!!!!!!!!

Huu ni unyanyasaji wa kijinsia, jamaa kakabwa kama kuku, na mwanamke anayepita anataka kumpanua miguu jamaa!!
Maadamano ijumaa ijayo!
 
643942_152243014922272_1186399861_n.jpg

Nimeamshwa na ugomvi huu hapa dark city nikaukimbilia nione mama gani anapigwa eh nilicho kiona sikuamini nikasema hapana ngoja nitake one photo kwa ajili ya funz wangu.

Maalim Mzizi, hii mwanke ilinifanya fhibaya sana, aisee nimekoma tena, kumbe yule demu wa Tanga ilikuwa Mtego mweee
 
Mkuu Mbuzi Mzee Hiyo ndio kwako fundisho ukome kwenda kuwachezea wanawake wa ki Tanga unacheza wewe na Mwanamke wa kisambaa? amekupa kichapo heavy Pole ndugu yangu Usijaribu kuwachezea Wanawake wa kisambaa..........
 
Last edited by a moderator:

Kwakweli nimekoma na kukomaa. Sasa naenda Mombasha, Tanga sitaki tena, yule demu wa Kitanga aliniogesha na maji ya HILIKI MWEE. Mkuu nasikia na wewe unafhutwah na demu mweee
 
Mkuu Mbuzi Mzee Nenda Mikoani ukita mademu wazuri,usiende mombasa Watakula huyo mbuzi mzee wako watakufanya kitoweo. Mimi ninafuatwa na Mademu wa kizungu huku nilipo mademu wa Kizungu ni wa kumwaga lakini si unajuwa mimi ni mlokole wa dini ya kiislam?Sipendi na wala Sifanyi mambo ya zinaa huwa Sipendelee kuzini, Zinaa inazeesha mwili kama inavyozeesha ulevi wa pombe huwa mimi sipendi mambo hayo ninamshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuniepusha .
 
Last edited by a moderator:
643942_152243014922272_1186399861_n.jpg

Nimeamshwa na ugomvi.
Mzizi Mkavu mm najua wewe ni Dr na ni Mwanamume sasa mbona huko nyuma anakuja Mwanamke Mzee kuja kuamulia ugomvi wa Mbuzi Mzee kwa kumtengua mguu wa kushoto si ndio atabakwa na hao kina mama?
UAMULIAJI GANI TENA HUO?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbuzi Mzee Nenda Mikoani ukita mademu wazuri,usiende mombasa Watakula huyo mbuzi mzee wako watakufanya kitoweo. Mimi ninafuatwa na Mademu wa kizungu huku nilipo mademu wa Kizungu ni wa kumwaga lakini si unajuwa mimi ni mlokole wa dini ya kiislam?Sipendi na wala Sifanyi mambo ya zinaa huwa Sipendelee kuzini, Zinaa inazeesha mwili kama inavyozeesha ulevi wa pombe huwa mimi sipendi mambo hayo ninamshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuniepusha .

Mkuu, nimerudi toka Tanga, wee wacha tu, nitakuweeni picha. Asante kwa ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom