Breaking bad series bora kwa muda wote

Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
 
Kuna spinoff yake ya better call Saul ni tamu kinyama. Humo una kutana na heka heka za Jimmy mcgill a.k.a Saul goodman
 
Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Ushazoea mapanga ya wakorea huwezi elewa hii kitu.
Imdb na rotten tomato wameipa rate ya juu kuliko series zote zilizopata kutokea tangu mwana wa adamu alipoumbwa. Sembuse wewe mwalimu kashasha
 
Kabisa nimetoka kiangalia kwa mara ya pili nimeimaliza jana
 
Ushazoea mapanga ya wakorea huwezi elewa hii kitu.
Imdb na rotten tomato wameipa rate ya juu kuliko series zote zilizopata kutokea tangu mwana wa adamu alipoumbwa. Sembuse wewe mwalimu kashasha
Hahahaha. Sawa mkuu lakini kumbuka huna kibali cha kusema kwa niaba ya watu wote.
Kuna baadhi ya maeneo yako poa sana hasa unapokutana na mzee wa connection "better call Saul", Mike, Gustavo. Binafsi siangaliagi series za kikorea ila bado ninasema breaking bad is overrated.
 
Hakuna kitu kama Game of Thrones, series hiiilivunja rekodi ya kuwa series iliyokuwa inaongeza watazamaji kila season na kuwa series ambayo ilikuw pirated kuliko series
 
Hii series ni kali sana.. uzuri haina yale mambo ya mtu mmoja kupiga kundi la watu 30..
Yaani unaona kabisa maisha ya kawaida..

Ipo kwenye top 10 ya series zangu kali
[/QUOT

Ntajie top three yako kaka niishi nazo
 
hii nilisikiaga ni nzuri ajabu nikasema ngoja niione 2015 kama sikosei dah nikakutana mambo ya porn live, ushoga na group sex dah nikaishia hapo hapo
Me too
Nilishindwa hapo tuu
Na kukatana mapanga live nilishindwa kwa kweli
 
Hakuna kitu kama Game of Thrones, series hiiilivunja rekodi ya kuwa series iliyokuwa inaongeza watazamaji kila season na kuwa series ambayo ilikuw pirated kuliko series
Ukumbuke kuwa game of throne haikuwai kubeba tuzo kipind breaking bad bado ipo hewani.....tuzo zilibebwa baad ya breaking bad kuisha fuatilia......ila breaking bad ni machine hata ukiangalia breaking bad inarate kubwa sana kuliko game of throne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…