Breaking bad series bora kwa muda wote

Breaking bad series bora kwa muda wote

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Wasaalam ndugu zangu,

Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine.

Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa tamthilia(series) basi umekosa kitu cha msingi sana yani ni sawa na wali ukose chumvi hauwezi ukalika.

Kitika hii tamthilia utajifunza mengin ikiwemo,

>unaweza tumia elimu uliyonayo bila kutegemea msharaha ukabuni njia ya kukuingizia pesa km tulivyoona kwa mr white( Heisenberg aka the meth cooker of all time) japo yeye aliitumia kwa njia isiyo sahihi ila aliweza tumia elimu yake ya kemia kupika madawa ya kulevya(blue meth) na kumpa utajiri mkubwa sana unajua kwanini alijiita jina la Heisenberg??!!!...... Hivyo basi wasomi wa vyuo mnaweza tumia elimu mlizonazo mkabuni project mbalimbali za halali mkapata kipato safi.

>wanasheria sometimes wanaweza kuwasaidia waarifu kwa kuwapa ushauri ambao unaweza fanikisha uhalifu ufanyike bila mamlaka za ulinzi kujua km ilivyoonekana kwa bwana "better call saul"(mwanasheria mwenye akili na mipango kuwai kuonekana ivi karibuni).
Better call saul ni mastermind(planner) amenogesha sana breaking bad sometimes nahisi bila yeye mr white kuna baadhi ya mission angelifeli sana,uyu bwana hakuwai shindwa kesi yoyote mahakamani hata km utakutwa na hatia he can defend and clear your mess.

>Jesse Pinkman alikuwa ni mwanafunzi wa kemia wa Mr white kijana aliefukuzwa kwao kwa kutukutu wake lakini hakufeli maisha ya mtaa alipanda kwa kupika white meth na kuuza ili kuweza kuishi mtaa mpk siku alipokutana na mr white na kuongea nae na kupanga kuanza ushirikiano(kupika meth)........alifanikiwa kutemgeneza fedha nyingi sana mpk akaamua kununua nyumba ambayo wazazi wake walikuwa wanaishi kulipa km kisasi maana walimfukuza hapo awali.Funzo kupitia character ya bwana Jesse ni kuwa unaweza ukadrop out shule na ukatoboa ila kwa njia ya halali.......

Nb:nimejitahidi kuelezea juu juu ila maelezo yangu hayatoshi kuelezea hii movie maana ni moto mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo sisi wa Game of Thrones unatuambiaje.?
Maana hii ndio the greatest show ever made in the world.
Akili iliyotumika ni Einstein + Tesla + Davinci
hii nilisikiaga ni nzuri ajabu nikasema ngoja niione 2015 kama sikosei dah nikakutana mambo ya porn live, ushoga na group sex dah nikaishia hapo hapo
 
Hata Gustavo ameifanya filamu kua bora zaidi,breaking kweli ni filamu kali haijawahi kutokea idea ya filamu kama ile iko poa na ipo kwenye uhalisia ila ilipoishia nilihisi kama inaweza kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anampa adui kinywaji yenye simu halafu wanakunywa pamoja kumwaminisha halafu yeye anaenda kutapika kisiri washroom

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Hii ni bonge la series ikifuatiwa na prison break

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Anampa adui kinywaji yenye simu halafu wanakunywa pamoja kumwaminisha halafu yeye anaenda kutapika kisiri washroom

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Sio Simu ni sumu
 
Kwahiyo sisi wa Game of Thrones unatuambiaje.?
Maana hii ndio the greatest show ever made in the world.
Akili iliyotumika ni Einstein + Tesla + Davinci
Tafuta huo mzgo kiongoz utanielewa,can u image after breaking bad kuisha ndo game of throne ikaanza kuwin award,maan kipnd breaking bad ipo game of throne tuzo zilikuwa znampita kuelekea kwa huo mzigo(breaking bad)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom