Breakin News "wamegandana"

Breakin News "wamegandana"

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Hivi punde nimesikia mvunjiko wa habari .
Source Habibu Gea wa clouds .
Habari Mwanaume na Mwanamke wamegandana.
Wamefikishwa Temeke hosp kwa kuganduliwa.
Taarifa zaidi zadai Temeke hosp wameshindwa uganduzi wame' appeal Muhimbili .
Ni vema basi members mlio mitaa hiyo changamkieni upaparazi mtujuze ukweli wa mambo, ndy moja ya benefit za kuwepo Jf, kupeana data za matukio.
 
Du!!mbona hukumu yao imefika mapema hivyo?yaani hatakabla yakufa!!watajiju tena kwenye tigo?amaa kweli tuanze kusali sasa muda wowote twaweza nyakuliwa
 
Picha ingenogesha sana hii habari mvunjiko..

Kule kwenye jukwaa la "Habari mchanganyiko" kuna member anaekwenda kwa username "Jile79" nae ameiripoti habari hii , na amedai yuko eneo la tukio.
Ameahidi ataweka picha , hata hivyo sidhani kama atafanikiwa kufotoa kwa vile kutokana na tukio kuvuta wingi wa watu, imelazimika mapongo kutawanya watu through teargas .
 
Hii habari itabaki kuwa uvumi mpaka hapo picha za uhakika au video zitakapotolewa.

Binafsi sitaki kuamini mpaka nione picha au video.
 
Hii habari itabaki kuwa uvumi mpaka hapo picha za uhakika au video zitakapotolewa.

Binafsi sitaki kuamini mpaka nione picha au video.

Dunia ya dot.com hii !
Na ukiwekewa scanin image or photoshop ?
Si utaamini . Meanwheal in reality haiko hivyo?
Au utakuja amini siku ukijanasa wewe ?
 
lol nimebalisha uamuzi wangu
 
Safi sana tena wawaache hata wiki nzima!
 
jamani wana JF wote mpo ? isije akawa mmoja wetu ameganda ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom