Breakfast Yangu ya leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breakfast Yangu ya leo.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Katavi, Sep 24, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  548720_370202879724040_2001627922_n.jpg
  Karibuni...
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Duh Katavi mambo gani hayo aise kututamanisha bana
  Wengine hata hatujayaona muda hayo mambo bana
  Asante kwa ukaribisho d
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! mkuu Mr Rocky hii kitu ni ya msimu, sehemu nyingine hakuna lakini kwetu muda yote yanapatikana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hiyo hata kama hujapiga mswaki inapanda tu.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Duh umenikumbusha enzi hizo niko Makambako, halafu bado niko Bachelor ndio ilikua dinner yangu hio maana pombe sinywi ikawa kila nikitoka jioni naenda kukaa kwa Mzee Mmoja alikua anafahamika kwa jina la Baba Mwanamisi maeneo RC, halafu nashushia na kitimoto, duh nusura nisahau kurudi nyumbani kwetu.
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Katavi wacha kabisa hii kitu inatamanisha bana
  Haswa uyachome mwenyewe sio haya wanayouza barabarani yamepigwa na vumbi na uchafu
  Wacha bana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  usisahau kuandaa chumvi,pilipili na limao!
   
 8. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yanayohitaji hivi ndo hayo ya mitaani...
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukikwenda kwa choo kazi ni kukamua pumba bada ya kukoboa hayo makitu.ila huwaga ni tamu hasa kipindi ya baridi.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ha haha aaah!! Hapo ndio kwenye shughuli...
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  ukimaliza yote hayo unalala na feni spidi ya mwisho au sio?
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmmh breakfast ndugu yangu kitu iyo......
   
 13. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikaonane na dentist kwanza.
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ikitangazwa kuwa break fast ya namna hiyo inaongeza nguvu za kiume, weeh! mahindi yangepanda bei.
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya mahindi ya dasilama..mbona magumu hivo?? sio kama ya kwetu Sitalike
   
Loading...