englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Aug 1, 2014 #1 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Previous
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Aug 1, 2014 #2 arooo sasa mbona atakuwa nakufuru
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Aug 2, 2014 #3 Ama kweli huyu ni kidume cha kushiba naona huyu jamaa kwenye shuguli ya kula kazi ipo tena si utani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 2, 2014 #4 Bhangi ni mmea mbaya mno
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Aug 2, 2014 #5 amebarikiwa
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,752 Reaction score 5,317 Aug 2, 2014 #6 gfsonwin said: amebarikiwa Click to expand... Na nani? Huyo hana uhakika wa kupata mlo mwingine hapo anafidia.
gfsonwin said: amebarikiwa Click to expand... Na nani? Huyo hana uhakika wa kupata mlo mwingine hapo anafidia.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Aug 2, 2014 #7 Twaeni, mle nyote.............
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 2, 2014 #8 Hiko ni nini??
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 2, 2014 #9 Hahahahaha na hizo dua anazopia utasema ana kirobo mkate yaani hatashiba so anategemea mlo wa lunch
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 2, 2014 #10 Bulldog said: Hiko ni nini?? Click to expand... Ugali ghorfa tatu.....3 flats lol
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Aug 2, 2014 #11 Akila wapi kunajaa. Ndani ya chupi au juu ya kiuno?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 2, 2014 #12 farkhina said: Ugali ghorfa tatu.....3 flats lol Click to expand... Kuna watu wana matumbo kama mifuko
farkhina said: Ugali ghorfa tatu.....3 flats lol Click to expand... Kuna watu wana matumbo kama mifuko
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Aug 2, 2014 #13 farkhina said: Hahahahaha na hizo dua anazopia utasema ana kirobo mkate yaani hatashiba so anategemea mlo wa lunch Click to expand... Robo bread
farkhina said: Hahahahaha na hizo dua anazopia utasema ana kirobo mkate yaani hatashiba so anategemea mlo wa lunch Click to expand... Robo bread
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Aug 2, 2014 #14 Duh!baada ya hapo sitaki kujua kitakachofatia