donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
Kumbe we ulikuepo kwa kuwaza hiko? Mzee how much you earn per day? Kama brain iko focused na sex tubila kuwaza hicho we usingekuwepo duniani.
na earn utamu per day.Kumbe we ulikuepo kwa kuwaza hiko? Mzee how much you earn per day? Kama brain iko focused na sex tu
We kula ugali dagaa asubuhi ni sababu ya shida tu .....Wanaume wa dar kwa huo ulaji wenu mkeo akija mkoani akakutana na wanaume wa kweli atakuita shoga yake
Hivi hapo DAR unakaa maeneo gani
Wewe utakuwa Yanga 1*3 lazima uwe na utapiamlooTofauti yetu na nyie
Soma hapo, kama hujaelewa fanya ka unajikuna kisha ulale.Wanaume wa dar kwa huo ulaji wenu mkeo akija mkoani akakutana na wanaume wa kweli atakuita shoga yake
Kwanini mkuu[emoji22][emoji22]Dah hii comment yako umenifanya nipaliwe na maji.
Dah maji yamepita njia ya hewa.
Huyu mzee n shidahSoma hapo, kama hujaelewa fanya ka unajikuna kisha ulale.View attachment 963467
Mkuu hao jamaa wanaopost kwenye page hio walishashindikana. Nikichoka humu huwa natembelea huo ukrasa.Huyu mzee n shidah