donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wewe wasemaWanaume wa dar kwa huo ulaji wenu mkeo akija mkoani akakutana na wanaume wa kweli atakuita shoga yake
Mbezi beach mkuu karibu, ukikuta mlango umefungwa we skumAHivi hapo DAR unakaa maeneo gani
Hahaha lolWanaume wa dar kwa huo ulaji wenu mkeo akija mkoani akakutana na wanaume wa kweli atakuita shoga yake
Wanaume wa dar kwa huo ulaji wenu mkeo akija mkoani akakutana na wanaume wa kweli atakuita shoga yake
Kuna siku nimefika Stend ya Buzuruga, Mwanza saa 1 asubuhi nakuta watu wanakula ugali mwekundu kwa nyama choma, nikashanaa sana.Unadhani ukiamka asbh ukala mahindi ya kuchemsha ndio afya?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani ukiamka asbh ukala mahindi ya kuchemsha ndio afya?!
Hahaha, pole mkuu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]njaa niliyoisikia Mungu shahidi yangu.View attachment 962632
Kazi wanazofanya Ni Ngumu zinahitaji Chakula kingi..Kuna siku nimefika Stend ya Buzuruga, Mwanza saa 1 asubuhi nakuta watu wanakula ugali mwekundu kwa nyama choma, nikashanaa sana.
Nshapoa aseeHahaha, pole mkuu
Wanaume wa mikoani mnawaza ngono tu muda woteWanaume wa dar mihogo na viazi mbona sioni? kweli vibao vya waganga wa nguvu za kiume havitoisha dar!
bila kuwaza hicho we usingekuwepo duniani.Wanaume wa mikoani mnawaza ngono tu muda wote