jozzeva
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,193
- 1,832
Aromantic..you with me.
Aromantic..you with me.
Namna hiyo.........
Hicho kikombe kimeandikwaje?
Picha tafadhaliHahahaa ukitaka jua utofauti wa maisha ndo upitie post kama hizi...mimi nimetoka kupiga ugali wa uwele na mlenda wa swalu pembeni kipego cha mtindi umeungwa kwa asali.
Hapa watanielewa wenzangu tuliohamia Idodoma.
Best girlfriend in the world.Hicho kikombe kimeandikwaje?